Nehemia 7:61
Nehemiah 7:61 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli:
Nehemiah 7:61 in English
Nehemiah 7:61 · Berean Standard Bible
The following came up from Tel-melah, Tel-harsha, Cherub, Addon,* and Immer, but could not prove that their families were descended from Israel:
Context
59wazao wa Shefatia, Hatili, Pokereth-Hasebaimu na Amoni. 60Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Solomoni 392 61Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli: 62wazao wa //Delaya, Tobia na Nekoda 642 63Na kutoka miongoni mwa makuhani:
wazao wa Hobaya, Hakosi na Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo).
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.