Native Bible

Nehemiah 7:62 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wazao wa //Delaya, Tobia na Nekoda 642

Nehemiah 7:62 in English

Nehemiah 7:62 · Berean Standard Bible

the descendants of Delaiah, the descendants of Tobiah, and the descendants of Nekoda, 642 in all.

Context

60Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Solomoni 392 61Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli: 62wazao wa //Delaya, Tobia na Nekoda 642 63Na kutoka miongoni mwa makuhani: wazao wa Hobaya, Hakosi na Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo). 64Hawa walitafuta orodha za jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kundi la makuhani, kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.