Native Bible

Nehemiah 7:64 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa walitafuta orodha za jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kundi la makuhani, kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi.

Nehemiah 7:64 in English

Nehemiah 7:64 · Berean Standard Bible

These men searched for their family records, but they could not find them and so were excluded from the priesthood as unclean.

Context

62wazao wa //Delaya, Tobia na Nekoda 642 63Na kutoka miongoni mwa makuhani: wazao wa Hobaya, Hakosi na Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo). 64Hawa walitafuta orodha za jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kundi la makuhani, kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi. 65Kwa hiyo, mtawala* aliagiza kuwa wasile chochote miongoni mwa vyakula vitakatifu hadi kuwe kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu.* 66Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.