Nehemia 12:34
Nehemiah 12:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yuda, Benyamini, Shemaya, Yeremia,
Nehemiah 12:34 in English
Nehemiah 12:34 · Berean Standard Bible
Judah, Benjamin, Shemaiah, Jeremiah,
Context
32Hoshaya na nusu ya viongozi wa Yuda wakawafuata, 33pamoja na Azaria, Ezra, Meshulamu, 34Yuda, Benyamini, Shemaya, Yeremia, 35pamoja na baadhi ya makuhani wenye tarumbeta, na pia walikuwa na Zekaria mwana wa Yonathani, mwana wa Shemaya, mwana wa Matania, mwana wa Mikaya, mwana wa Zakuri, mwana wa Asafu, 36pamoja na wenzake, Shemaya, Azareli, Milalai, Gilalai, Maai, Nethaneli, Yuda na Hanani, wakiwa na vyombo vya uimbaji, kama ilivyoagizwa na Daudi mtu wa Mungu. Mwandishi Ezra aliongoza maandamano.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.