Nehemia 12:32
Nehemiah 12:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hoshaya na nusu ya viongozi wa Yuda wakawafuata,
Nehemiah 12:32 in English
Nehemiah 12:32 · Berean Standard Bible
Hoshaiah and half the leaders of Judah followed,
Context
30Wakati makuhani na Walawi walipokuwa wamekwisha kujitakasa kwa kufuatana na desturi, waliwatakasa watu, malango na ukuta. 31Niliwaagiza viongozi wa Yuda wapande juu ya ukuta. Pia niliagiza makundi mawili makubwa ya waimbaji waimbe nyimbo za kumshukuru Mungu. Kundi moja lilipanda juu ya ukuta upande wa kuume, kuelekea Lango la Samadi. 32Hoshaya na nusu ya viongozi wa Yuda wakawafuata, 33pamoja na Azaria, Ezra, Meshulamu, 34Yuda, Benyamini, Shemaya, Yeremia,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.