Nehemia 12:33
Nehemiah 12:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
pamoja na Azaria, Ezra, Meshulamu,
Nehemiah 12:33 in English
Nehemiah 12:33 · Berean Standard Bible
along with Azariah, Ezra, Meshullam,
Context
31Niliwaagiza viongozi wa Yuda wapande juu ya ukuta. Pia niliagiza makundi mawili makubwa ya waimbaji waimbe nyimbo za kumshukuru Mungu. Kundi moja lilipanda juu ya ukuta upande wa kuume, kuelekea Lango la Samadi. 32Hoshaya na nusu ya viongozi wa Yuda wakawafuata, 33pamoja na Azaria, Ezra, Meshulamu, 34Yuda, Benyamini, Shemaya, Yeremia, 35pamoja na baadhi ya makuhani wenye tarumbeta, na pia walikuwa na Zekaria mwana wa Yonathani, mwana wa Shemaya, mwana wa Matania, mwana wa Mikaya, mwana wa Zakuri, mwana wa Asafu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.