Nehemia 11:32
Nehemiah 11:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
katika Anathothi, Nobu na Anania,
Nehemiah 11:32 in English
Nehemiah 11:32 · Berean Standard Bible
in Anathoth, Nob, Ananiah,
Context
30Zanoa, Adulamu na vijiji vyake, katika Lakishi na mashamba yake, na katika Azeka na makazi yake. Hivyo walikuwa wakiishi kuanzia Beer-Sheba mpaka Bonde la Hinomu. 31Wazao wa Wabenyamini kutoka Geba waliishi Mikmashi, Aiya, Betheli na makazi yake, 32katika Anathothi, Nobu na Anania, 33katika Hazori, Rama na Gitaimu, 34katika Hadidi, Seboimu na Nebalati,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.