Nehemia 11:30
Nehemiah 11:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Zanoa, Adulamu na vijiji vyake, katika Lakishi na mashamba yake, na katika Azeka na makazi yake. Hivyo walikuwa wakiishi kuanzia Beer-Sheba mpaka Bonde la Hinomu.
Nehemiah 11:30 in English
Nehemiah 11:30 · Berean Standard Bible
Zanoah, Adullam, and their villages; in Lachish and its fields; and in Azekah and its villages. So they settled from Beersheba all the way to the Valley of Hinnom.
Context
28katika Siklagi, katika Mekona na makazi yake, 29katika En-Rimoni, katika Sora, katika Yarmuthi, 30Zanoa, Adulamu na vijiji vyake, katika Lakishi na mashamba yake, na katika Azeka na makazi yake. Hivyo walikuwa wakiishi kuanzia Beer-Sheba mpaka Bonde la Hinomu. 31Wazao wa Wabenyamini kutoka Geba waliishi Mikmashi, Aiya, Betheli na makazi yake, 32katika Anathothi, Nobu na Anania,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.