Native Bible

Nehemiah 11:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wazao wa Wabenyamini kutoka Geba waliishi Mikmashi, Aiya, Betheli na makazi yake,

Nehemiah 11:31 in English

Nehemiah 11:31 · Berean Standard Bible

The descendants of Benjamin from Geba lived in Michmash, Aija, and Bethel with its villages;

Context

29katika En-Rimoni, katika Sora, katika Yarmuthi, 30Zanoa, Adulamu na vijiji vyake, katika Lakishi na mashamba yake, na katika Azeka na makazi yake. Hivyo walikuwa wakiishi kuanzia Beer-Sheba mpaka Bonde la Hinomu. 31Wazao wa Wabenyamini kutoka Geba waliishi Mikmashi, Aiya, Betheli na makazi yake, 32katika Anathothi, Nobu na Anania, 33katika Hazori, Rama na Gitaimu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.