Nehemia 11:29
Nehemiah 11:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
katika En-Rimoni, katika Sora, katika Yarmuthi,
Nehemiah 11:29 in English
Nehemiah 11:29 · Berean Standard Bible
in En-rimmon, Zorah, Jarmuth,
Context
27katika Hasar-Shuali, katika Beer-Sheba na makazi yake, 28katika Siklagi, katika Mekona na makazi yake, 29katika En-Rimoni, katika Sora, katika Yarmuthi, 30Zanoa, Adulamu na vijiji vyake, katika Lakishi na mashamba yake, na katika Azeka na makazi yake. Hivyo walikuwa wakiishi kuanzia Beer-Sheba mpaka Bonde la Hinomu. 31Wazao wa Wabenyamini kutoka Geba waliishi Mikmashi, Aiya, Betheli na makazi yake,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.