Nehemia 11:27
Nehemiah 11:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
katika Hasar-Shuali, katika Beer-Sheba na makazi yake,
Nehemiah 11:27 in English
Nehemiah 11:27 · Berean Standard Bible
in Hazar-shual; in Beersheba and its villages;
Context
25Kuhusu vijiji na mashamba yake, baadhi ya watu wa Yuda waliishi Kiriath-Arba na makazi yaliyokizunguka, katika Diboni na makazi yake, katika Yekabzeeli na vijiji vyake, 26katika Yeshua, katika Molada, katika Beth-Peleti, 27katika Hasar-Shuali, katika Beer-Sheba na makazi yake, 28katika Siklagi, katika Mekona na makazi yake, 29katika En-Rimoni, katika Sora, katika Yarmuthi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.