Nehemia 11:26
Nehemiah 11:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
katika Yeshua, katika Molada, katika Beth-Peleti,
Nehemiah 11:26 in English
Nehemiah 11:26 · Berean Standard Bible
in Jeshua, Moladah, and Beth-pelet;
Context
24Pethahia mwana wa Meshezabeli, mmoja wa wazao wa Zera mwana wa Yuda, alikuwa mwakilishi wa mfalme katika mambo yote kuhusu mahusiano na watu. 25Kuhusu vijiji na mashamba yake, baadhi ya watu wa Yuda waliishi Kiriath-Arba na makazi yaliyokizunguka, katika Diboni na makazi yake, katika Yekabzeeli na vijiji vyake, 26katika Yeshua, katika Molada, katika Beth-Peleti, 27katika Hasar-Shuali, katika Beer-Sheba na makazi yake, 28katika Siklagi, katika Mekona na makazi yake,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.