Nehemia 11:19
Nehemiah 11:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mabawabu: Akubu, Talmoni na wenzao, waliolinda malango: watu 172.
Nehemiah 11:19 in English
Nehemiah 11:19 · Berean Standard Bible
And the gatekeepers: Akkub, Talmon, and their associates, who kept watch at the gates—172 men.
Context
17Matania mwana wa Mika, mwana wa Zabdi, mwana wa Asafu, kiongozi aliyeongoza kutoa shukrani na maombi; Bakbukia aliyekuwa msaidizi wake kati ya wenzake; na Abda mwana wa Shamua, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni. 18Jumla ya Walawi waliokaa katika mji mtakatifu walikuwa watu 284. 19Mabawabu:
Akubu, Talmoni na wenzao, waliolinda malango: watu 172. 20Waisraeli waliosalia, pamoja na makuhani na Walawi, walikuwa katika miji yote ya Yuda, kila mmoja katika urithi wa baba yake. 21Watumishi wa Hekalu waliishi katika kilima cha Ofeli. Siha na Gishpa walikuwa wasimamizi wao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.