Nehemia 11:20
Nehemiah 11:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Waisraeli waliosalia, pamoja na makuhani na Walawi, walikuwa katika miji yote ya Yuda, kila mmoja katika urithi wa baba yake.
Nehemiah 11:20 in English
Nehemiah 11:20 · Berean Standard Bible
The rest of the Israelites, with the priests and Levites, were in all the villages of Judah, each on his own inheritance.
Context
18Jumla ya Walawi waliokaa katika mji mtakatifu walikuwa watu 284. 19Mabawabu:
Akubu, Talmoni na wenzao, waliolinda malango: watu 172. 20Waisraeli waliosalia, pamoja na makuhani na Walawi, walikuwa katika miji yote ya Yuda, kila mmoja katika urithi wa baba yake. 21Watumishi wa Hekalu waliishi katika kilima cha Ofeli. Siha na Gishpa walikuwa wasimamizi wao. 22Afisa mkuu wa Walawi huko Yerusalemu alikuwa Uzi mwana wa Bani, mwana wa Hashabia, mwana wa Matania, mwana wa Mika. Uzi alikuwa mmoja wa wazao wa Asafu, waliokuwa waimbaji wenye kuwajibika kwa ajili ya huduma ya nyumba ya Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.