Native Bible

Nehemiah 11:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jumla ya Walawi waliokaa katika mji mtakatifu walikuwa watu 284.

Nehemiah 11:18 in English

Nehemiah 11:18 · Berean Standard Bible

The Levites in the holy city totaled 284.

Context

16Shabethai na Yozabadi, viongozi wawili wa Walawi, ambao walisimamia kazi za nje za nyumba ya Mungu; 17Matania mwana wa Mika, mwana wa Zabdi, mwana wa Asafu, kiongozi aliyeongoza kutoa shukrani na maombi; Bakbukia aliyekuwa msaidizi wake kati ya wenzake; na Abda mwana wa Shamua, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni. 18Jumla ya Walawi waliokaa katika mji mtakatifu walikuwa watu 284. 19Mabawabu: Akubu, Talmoni na wenzao, waliolinda malango: watu 172. 20Waisraeli waliosalia, pamoja na makuhani na Walawi, walikuwa katika miji yote ya Yuda, kila mmoja katika urithi wa baba yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.