Nehemia 11:16
Nehemiah 11:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Shabethai na Yozabadi, viongozi wawili wa Walawi, ambao walisimamia kazi za nje za nyumba ya Mungu;
Nehemiah 11:16 in English
Nehemiah 11:16 · Berean Standard Bible
Shabbethai and Jozabad, two leaders of the Levites, who supervised the work outside the house of God;
Context
14na wenzao waliokuwa wenye uwezo: watu 128. Afisa wao mkuu alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu. 15Kutoka Walawi:
Shemaya mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, mwana wa Buni; 16Shabethai na Yozabadi, viongozi wawili wa Walawi, ambao walisimamia kazi za nje za nyumba ya Mungu; 17Matania mwana wa Mika, mwana wa Zabdi, mwana wa Asafu, kiongozi aliyeongoza kutoa shukrani na maombi; Bakbukia aliyekuwa msaidizi wake kati ya wenzake; na Abda mwana wa Shamua, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni. 18Jumla ya Walawi waliokaa katika mji mtakatifu walikuwa watu 284.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.