Native Bible

Nahum 1:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

lakini kwa mafuriko makubwa, ataangamiza Ninawi; atafuatilia adui zake hadi gizani.

Nahum 1:8 in English

Nahum 1:8 · Berean Standard Bible

But with an overwhelming flood He will make an end of Nineveh * and pursue His enemies into darkness.

Context

6Ni nani awezaye kuzuia hasira yake yenye uchungu? Nani awezaye kuvumilia hasira yake kali? Ghadhabu yake imemiminwa kama moto, na miamba inapasuka mbele zake. 7Bwana ni Mwema, kimbilio wakati wa taabu. Huwatunza wale wanaomtegemea, 8lakini kwa mafuriko makubwa, ataangamiza Ninawi; atafuatilia adui zake hadi gizani. 9Shauri baya lolote wapangalo dhidi ya Bwana yeye atalikomesha; taabu haitatokea mara ya pili. 10Watasongwa katikati ya miiba na kulewa kwa mvinyo wao. Watateketezwa kama mabua makavu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.