Nahumu 1:7
Nahum 1:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana ni Mwema, kimbilio wakati wa taabu. Huwatunza wale wanaomtegemea,
Nahum 1:7 in English
Nahum 1:7 · Berean Standard Bible
The LORD is good, a stronghold in the day of distress; He cares for those who trust in Him.
Context
5Milima hutikisika mbele yake
na vilima huyeyuka.
Nchi hutetemeka mbele yake,
dunia na wote waishio ndani yake. 6Ni nani awezaye kuzuia hasira yake yenye uchungu?
Nani awezaye kuvumilia hasira yake kali?
Ghadhabu yake imemiminwa kama moto,
na miamba inapasuka mbele zake. 7Bwana ni Mwema,
kimbilio wakati wa taabu.
Huwatunza wale wanaomtegemea, 8lakini kwa mafuriko makubwa,
ataangamiza Ninawi;
atafuatilia adui zake hadi gizani. 9Shauri baya lolote wapangalo dhidi ya Bwana
yeye atalikomesha;
taabu haitatokea mara ya pili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.