Native Bible

Mark 8:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akawauliza, “Mna mikate mingapi?” Wakajibu, “Tuna mikate saba.”

Mark 8:5 in English

Mark 8:5 · Berean Standard Bible

“How many loaves do you have?” Jesus asked. “Seven,” they replied.

Context

3Nikiwaaga waende nyumbani bila kula, watazimia njiani kwa sababu baadhi yao wametoka mbali.” 4Wanafunzi wake wakamjibu, “Lakini hapa nyikani tutapata wapi mikate ya kutosha kuwalisha?” 5Yesu akawauliza, “Mna mikate mingapi?” Wakajibu, “Tuna mikate saba.” 6Akawaambia watu waketi chini. Akiisha kuichukua mikate saba na kushukuru, akaimega na kuwapa wanafunzi wake ili wawagawie watu. Wanafunzi wake wakafanya hivyo. 7Walikuwa pia na visamaki vichache, Yesu akavibariki, akawaamuru wanafunzi wake wawagawie watu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.