Marko 8:3
Mark 8:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nikiwaaga waende nyumbani bila kula, watazimia njiani kwa sababu baadhi yao wametoka mbali.”
Mark 8:3 in English
Mark 8:3 · Berean Standard Bible
If I send them home hungry, they will faint along the way. For some of them have come a great distance.”
Context
1Katika siku hizo, umati mkubwa wa watu ulikusanyika tena. Kwa kuwa walikuwa hawana chakula, Yesu akawaita wanafunzi wake akawaambia, 2“Ninauhurumia huu umati wa watu, kwa sababu sasa wamekuwa nami kwa muda wa siku tatu na hawana chakula. 3Nikiwaaga waende nyumbani bila kula, watazimia njiani kwa sababu baadhi yao wametoka mbali.” 4Wanafunzi wake wakamjibu, “Lakini hapa nyikani tutapata wapi mikate ya kutosha kuwalisha?” 5Yesu akawauliza, “Mna mikate mingapi?”
Wakajibu, “Tuna mikate saba.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.