Native Bible

Mark 8:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha akawaacha, akarudi kwenye mashua, akavuka hadi ngʼambo.

Mark 8:13 in English

Mark 8:13 · Berean Standard Bible

And He left them, got back into the boat, and crossed to the other side.

Context

11Mafarisayo wakaja, wakaanza kumhoji Yesu. Ili kumtega, wakamwomba awaonyeshe ishara kutoka mbinguni. 12Akahuzunika moyoni, akawaambia, “Kwa nini kizazi hiki kinataka ishara? Amin nawaambieni, hakitapewa ishara yoyote.” 13Kisha akawaacha, akarudi kwenye mashua, akavuka hadi ngʼambo. 14Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate ya kutosha. Walikuwa na mkate mmoja tu kwenye mashua. 15Yesu akawaonya: “Jihadharini na chachu ya Mafarisayo na ya Herode.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.