Native Bible

Mark 8:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akawaonya: “Jihadharini na chachu ya Mafarisayo na ya Herode.”

Mark 8:15 in English

Mark 8:15 · Berean Standard Bible

“Watch out!” He cautioned them. “Beware of the leaven of the Pharisees and of Herod.”

Context

13Kisha akawaacha, akarudi kwenye mashua, akavuka hadi ngʼambo. 14Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate ya kutosha. Walikuwa na mkate mmoja tu kwenye mashua. 15Yesu akawaonya: “Jihadharini na chachu ya Mafarisayo na ya Herode.” 16Wakajadiliana wao kwa wao, na kusema, “Anasema hivi kwa sababu hatukuleta mikate.” 17Yesu, akifahamu majadiliano yao, akawauliza: “Mbona mnajadiliana kuhusu kutokuwa na mikate? Je, bado hamtambui wala hamwelewi? Je, mbona mioyo yenu ni migumu kiasi hicho?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.