Marko 6:38
Mark 6:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawauliza, “Kuna mikate mingapi? Nendeni mkaangalie.” Walipokwisha kujua wakarudi, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.”
Mark 6:38 in English
Mark 6:38 · Berean Standard Bible
“Go and see how many loaves you have,” He told them. And after checking, they said, “Five—and two fish.”
Context
36Waage watu ili waende mashambani na vijijini jirani, wakajinunulie chakula.” 37Lakini Yesu akawajibu, “Ninyi wapeni chakula.”
Wakamwambia, “Je, twende tukanunue mikate ya dinari 200* ili tuwape watu hawa wale?” 38Akawauliza, “Kuna mikate mingapi? Nendeni mkaangalie.”
Walipokwisha kujua wakarudi, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.” 39Kisha Yesu akawaamuru wawaketishe watu makundi makundi kwenye majani, 40nao wakaketi kwenye makundi ya watu mia mia na wengine hamsini hamsini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.