Marko 6:37
Mark 6:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini Yesu akawajibu, “Ninyi wapeni chakula.” Wakamwambia, “Je, twende tukanunue mikate ya dinari 200* ili tuwape watu hawa wale?”
Mark 6:37 in English
Mark 6:37 · Berean Standard Bible
But Jesus told them, “You give them something to eat.” They asked Him, “Should we go out and spend two hundred denarii * to give all of them bread to eat?”
Context
35Mchana ulipokuwa umeendelea sana, wanafunzi wake walienda kwake, wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, nazo saa zimekwenda sana. 36Waage watu ili waende mashambani na vijijini jirani, wakajinunulie chakula.” 37Lakini Yesu akawajibu, “Ninyi wapeni chakula.”
Wakamwambia, “Je, twende tukanunue mikate ya dinari 200* ili tuwape watu hawa wale?” 38Akawauliza, “Kuna mikate mingapi? Nendeni mkaangalie.”
Walipokwisha kujua wakarudi, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.” 39Kisha Yesu akawaamuru wawaketishe watu makundi makundi kwenye majani,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.