Marko 6:35
Mark 6:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mchana ulipokuwa umeendelea sana, wanafunzi wake walienda kwake, wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, nazo saa zimekwenda sana.
Mark 6:35 in English
Mark 6:35 · Berean Standard Bible
By now the hour was already late. So the disciples came to Jesus and said, “This is a desolate place, and the hour is already late.
Context
33Lakini watu wengi waliowaona wakiondoka, wakawatambua, nao wakaenda haraka kwa miguu kutoka miji yote, nao wakatangulia kufika. 34Yesu alipofika kando ya bahari, aliona makutano makubwa ya watu, akawahurumia kwa maana walikuwa kama kondoo wasiokuwa na mchungaji. Kwa hiyo akaanza kuwafundisha mambo mengi. 35Mchana ulipokuwa umeendelea sana, wanafunzi wake walienda kwake, wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, nazo saa zimekwenda sana. 36Waage watu ili waende mashambani na vijijini jirani, wakajinunulie chakula.” 37Lakini Yesu akawajibu, “Ninyi wapeni chakula.”
Wakamwambia, “Je, twende tukanunue mikate ya dinari 200* ili tuwape watu hawa wale?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.