Native Bible

Mark 6:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waage watu ili waende mashambani na vijijini jirani, wakajinunulie chakula.”

Mark 6:36 in English

Mark 6:36 · Berean Standard Bible

Dismiss the crowd so they can go to the surrounding countryside and villages and buy themselves something to eat.”

Context

34Yesu alipofika kando ya bahari, aliona makutano makubwa ya watu, akawahurumia kwa maana walikuwa kama kondoo wasiokuwa na mchungaji. Kwa hiyo akaanza kuwafundisha mambo mengi. 35Mchana ulipokuwa umeendelea sana, wanafunzi wake walienda kwake, wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, nazo saa zimekwenda sana. 36Waage watu ili waende mashambani na vijijini jirani, wakajinunulie chakula.” 37Lakini Yesu akawajibu, “Ninyi wapeni chakula.” Wakamwambia, “Je, twende tukanunue mikate ya dinari 200* ili tuwape watu hawa wale?” 38Akawauliza, “Kuna mikate mingapi? Nendeni mkaangalie.” Walipokwisha kujua wakarudi, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.