Marko 6:40
Mark 6:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nao wakaketi kwenye makundi ya watu mia mia na wengine hamsini hamsini.
Mark 6:40 in English
Mark 6:40 · Berean Standard Bible
So they sat down in groups of hundreds and fifties.
Context
38Akawauliza, “Kuna mikate mingapi? Nendeni mkaangalie.”
Walipokwisha kujua wakarudi, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.” 39Kisha Yesu akawaamuru wawaketishe watu makundi makundi kwenye majani, 40nao wakaketi kwenye makundi ya watu mia mia na wengine hamsini hamsini. 41Yesu akaichukua ile mikate mitano na wale samaki wawili, akainua macho yake akatazama mbinguni, akavibariki na kuimega ile mikate. Kisha akawapa wanafunzi wake ili wawagawie wale watu wote. Pia akawagawia wote wale samaki wawili. 42Watu wote wakala, wakashiba.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.