Native Bible

Mark 5:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akamuuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Jina langu ni Legioni,* kwa kuwa tuko wengi.”

Mark 5:9 in English

Mark 5:9 · Berean Standard Bible

“What is your name?” Jesus asked. “My name is Legion,” he replied, “for we are many.”

Context

7Akapiga kelele kwa nguvu akisema, “Una nini nami, Yesu, Mwana wa Mungu Aliye Juu Sana? Ninakusihi kwa jina la Mungu, usinitese!” 8Kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia, “Mtoke mtu huyu, wewe pepo mchafu!” 9Yesu akamuuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Jina langu ni Legioni,* kwa kuwa tuko wengi.” 10Akamsihi Yesu sana asiwapeleke nje ya nchi ile. 11Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe lililokuwa likilisha karibu kando ya kilima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.