Native Bible

Mark 5:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akapiga kelele kwa nguvu akisema, “Una nini nami, Yesu, Mwana wa Mungu Aliye Juu Sana? Ninakusihi kwa jina la Mungu, usinitese!”

Mark 5:7 in English

Mark 5:7 · Berean Standard Bible

And he shouted in a loud voice, “What do You want with me, Jesus, Son of the Most High God? I beg You before God not to torture me!”

Context

5Usiku na mchana alikuwa makaburini na milimani, akipiga kelele na kujikatakata kwa mawe. 6Alipomwona Yesu kwa mbali, alimkimbilia, akapiga magoti mbele yake. 7Akapiga kelele kwa nguvu akisema, “Una nini nami, Yesu, Mwana wa Mungu Aliye Juu Sana? Ninakusihi kwa jina la Mungu, usinitese!” 8Kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia, “Mtoke mtu huyu, wewe pepo mchafu!” 9Yesu akamuuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Jina langu ni Legioni,* kwa kuwa tuko wengi.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.