Marko 5:6
Mark 5:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alipomwona Yesu kwa mbali, alimkimbilia, akapiga magoti mbele yake.
Mark 5:6 in English
Mark 5:6 · Berean Standard Bible
When the man saw Jesus from a distance, he ran and fell on his knees before Him.
Context
4Kwa kuwa mara kwa mara alikuwa amefungwa minyororo mikononi na miguuni, lakini akaikata hiyo minyororo na kuzivunja zile pingu miguuni mwake. Hapakuwa na mtu yeyote aliyekuwa na nguvu za kumzuia. 5Usiku na mchana alikuwa makaburini na milimani, akipiga kelele na kujikatakata kwa mawe. 6Alipomwona Yesu kwa mbali, alimkimbilia, akapiga magoti mbele yake. 7Akapiga kelele kwa nguvu akisema, “Una nini nami, Yesu, Mwana wa Mungu Aliye Juu Sana? Ninakusihi kwa jina la Mungu, usinitese!” 8Kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia, “Mtoke mtu huyu, wewe pepo mchafu!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.