Marko 5:11
Mark 5:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe lililokuwa likilisha karibu kando ya kilima.
Mark 5:11 in English
Mark 5:11 · Berean Standard Bible
There on the nearby hillside a large herd of pigs was feeding.
Context
9Yesu akamuuliza, “Jina lako ni nani?”
Akamjibu, “Jina langu ni Legioni,* kwa kuwa tuko wengi.” 10Akamsihi Yesu sana asiwapeleke nje ya nchi ile. 11Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe lililokuwa likilisha karibu kando ya kilima. 12Wale pepo wachafu wakamsihi Yesu wakisema, “Tuamuru twende kwenye wale nguruwe. Turuhusu tuwaingie.” 13Basi Yesu akawaruhusu, nao wale pepo wachafu wakatoka, wakawaingia hao nguruwe. Lile kundi lilikuwa na nguruwe wapatao 2,000, nao wote wakateremkia gengeni kwa kasi, nao wakatumbukia ziwani na kuzama.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.