Marko 5:10
Mark 5:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akamsihi Yesu sana asiwapeleke nje ya nchi ile.
Mark 5:10 in English
Mark 5:10 · Berean Standard Bible
And he begged Jesus repeatedly not to send them out of that region.
Context
8Kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia, “Mtoke mtu huyu, wewe pepo mchafu!” 9Yesu akamuuliza, “Jina lako ni nani?”
Akamjibu, “Jina langu ni Legioni,* kwa kuwa tuko wengi.” 10Akamsihi Yesu sana asiwapeleke nje ya nchi ile. 11Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe lililokuwa likilisha karibu kando ya kilima. 12Wale pepo wachafu wakamsihi Yesu wakisema, “Tuamuru twende kwenye wale nguruwe. Turuhusu tuwaingie.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.