Marko 3:33
Mark 3:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawauliza, “Mama yangu na ndugu zangu ni nani?”
Mark 3:33 in English
Mark 3:33 · Berean Standard Bible
But Jesus replied, “Who are My mother and My brothers?”
Context
31Kisha wakaja ndugu zake Yesu pamoja na mama yake. Wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita. 32Umati wa watu ulikuwa umeketi kumzunguka, nao wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.” 33Akawauliza, “Mama yangu na ndugu zangu ni nani?” 34Kisha akawatazama wale watu waliokuwa wameketi kumzunguka pande zote, akasema, “Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu. 35Mtu yeyote anayetenda mapenzi ya Mungu, huyo ndiye ndugu yangu, na dada yangu na mama yangu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.