Native Bible

Mark 3:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha wakaja ndugu zake Yesu pamoja na mama yake. Wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita.

Mark 3:31 in English

Mark 3:31 · Berean Standard Bible

Then Jesus’ mother and brothers came and stood outside. They sent someone in to summon Him,

Context

29Lakini yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.” 30Yesu alisema hivi kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.” 31Kisha wakaja ndugu zake Yesu pamoja na mama yake. Wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita. 32Umati wa watu ulikuwa umeketi kumzunguka, nao wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.” 33Akawauliza, “Mama yangu na ndugu zangu ni nani?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.