Native Bible

Mark 3:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.”

Mark 3:29 in English

Mark 3:29 · Berean Standard Bible

But whoever blasphemes against the Holy Spirit will never be forgiven; he is guilty of eternal sin.”

Context

27Hakuna mtu yeyote awezaye kuingia kwenye nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuteka nyara mali zake asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu. Ndipo ataweza kuteka nyara mali zake. 28Amin, nawaambia, dhambi zote na makufuru yote ya wanadamu watasamehewa. 29Lakini yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.” 30Yesu alisema hivi kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.” 31Kisha wakaja ndugu zake Yesu pamoja na mama yake. Wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.