Native Bible

Mark 3:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu alisema hivi kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.”

Mark 3:30 in English

Mark 3:30 · Berean Standard Bible

Jesus made this statement because they were saying, “He has an unclean spirit.”

Context

28Amin, nawaambia, dhambi zote na makufuru yote ya wanadamu watasamehewa. 29Lakini yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.” 30Yesu alisema hivi kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.” 31Kisha wakaja ndugu zake Yesu pamoja na mama yake. Wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita. 32Umati wa watu ulikuwa umeketi kumzunguka, nao wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.