Native Bible

Mark 3:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Umati wa watu ulikuwa umeketi kumzunguka, nao wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.”

Mark 3:32 in English

Mark 3:32 · Berean Standard Bible

and a crowd was sitting around Him. “Look,” He was told, “Your mother and brothers * are outside, asking for You.”

Context

30Yesu alisema hivi kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.” 31Kisha wakaja ndugu zake Yesu pamoja na mama yake. Wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita. 32Umati wa watu ulikuwa umeketi kumzunguka, nao wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.” 33Akawauliza, “Mama yangu na ndugu zangu ni nani?” 34Kisha akawatazama wale watu waliokuwa wameketi kumzunguka pande zote, akasema, “Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.