Native Bible

Mark 3:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha akawatazama wale watu waliokuwa wameketi kumzunguka pande zote, akasema, “Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu.

Mark 3:34 in English

Mark 3:34 · Berean Standard Bible

Looking at those seated in a circle around Him, He said, “Here are My mother and My brothers!

Context

32Umati wa watu ulikuwa umeketi kumzunguka, nao wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.” 33Akawauliza, “Mama yangu na ndugu zangu ni nani?” 34Kisha akawatazama wale watu waliokuwa wameketi kumzunguka pande zote, akasema, “Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu. 35Mtu yeyote anayetenda mapenzi ya Mungu, huyo ndiye ndugu yangu, na dada yangu na mama yangu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.