Marko 3:28
Mark 3:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Amin, nawaambia, dhambi zote na makufuru yote ya wanadamu watasamehewa.
Mark 3:28 in English
Mark 3:28 · Berean Standard Bible
Truly I tell you, the sons of men will be forgiven all sins and blasphemies, as many as they utter.
Context
26Naye Shetani kama akijipinga mwenyewe na awe amegawanyika, hawezi kusimama bali mwisho wake umewadia. 27Hakuna mtu yeyote awezaye kuingia kwenye nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuteka nyara mali zake asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu. Ndipo ataweza kuteka nyara mali zake. 28Amin, nawaambia, dhambi zote na makufuru yote ya wanadamu watasamehewa. 29Lakini yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.” 30Yesu alisema hivi kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.