Marko 3:14
Mark 3:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawachagua kumi na wawili, ambao aliwaita mitume, ili wapate kuwa pamoja naye, na awatume kwenda kuhubiri
Mark 3:14 in English
Mark 3:14 · Berean Standard Bible
He appointed twelve of them, whom He designated as apostles,* to accompany Him, to be sent out to preach,
Context
12Lakini aliwaonya wasimseme yeye ni nani. 13Yesu akapanda mlimani na kuwaita wale aliowataka, nao wakamjia. 14Akawachagua kumi na wawili, ambao aliwaita mitume, ili wapate kuwa pamoja naye, na awatume kwenda kuhubiri 15na kuwa na mamlaka ya kutoa pepo wachafu. 16Hawa ndio wale kumi na wawili aliowachagua: Simoni (ambaye alimwita Petro);
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.