Marko 3:13
Mark 3:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akapanda mlimani na kuwaita wale aliowataka, nao wakamjia.
Mark 3:13 in English
Mark 3:13 · Berean Standard Bible
Then Jesus went up on the mountain and called for those He wanted, and they came to Him.
Context
11Kila mara pepo wachafu walipomwona, walianguka chini mbele yake na kupiga kelele wakisema, “Wewe ndiwe Mwana wa Mungu.” 12Lakini aliwaonya wasimseme yeye ni nani. 13Yesu akapanda mlimani na kuwaita wale aliowataka, nao wakamjia. 14Akawachagua kumi na wawili, ambao aliwaita mitume, ili wapate kuwa pamoja naye, na awatume kwenda kuhubiri 15na kuwa na mamlaka ya kutoa pepo wachafu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.