Marko 3:11
Mark 3:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kila mara pepo wachafu walipomwona, walianguka chini mbele yake na kupiga kelele wakisema, “Wewe ndiwe Mwana wa Mungu.”
Mark 3:11 in English
Mark 3:11 · Berean Standard Bible
And when the unclean spirits saw Him, they fell down before Him and cried out, “You are the Son of God!”
Context
9Kwa sababu ya umati mkubwa wa watu, aliwaambia wanafunzi wake waweke tayari mashua ndogo kwa ajili yake, ili kuwazuia watu kumsonga. 10Kwa kuwa alikuwa amewaponya wagonjwa wengi, wale wenye magonjwa walikuwa wanasukumana ili wapate kumgusa. 11Kila mara pepo wachafu walipomwona, walianguka chini mbele yake na kupiga kelele wakisema, “Wewe ndiwe Mwana wa Mungu.” 12Lakini aliwaonya wasimseme yeye ni nani. 13Yesu akapanda mlimani na kuwaita wale aliowataka, nao wakamjia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.