Native Bible

Mark 3:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini aliwaonya wasimseme yeye ni nani.

Mark 3:12 in English

Mark 3:12 · Berean Standard Bible

But He warned them sternly not to make Him known.

Context

10Kwa kuwa alikuwa amewaponya wagonjwa wengi, wale wenye magonjwa walikuwa wanasukumana ili wapate kumgusa. 11Kila mara pepo wachafu walipomwona, walianguka chini mbele yake na kupiga kelele wakisema, “Wewe ndiwe Mwana wa Mungu.” 12Lakini aliwaonya wasimseme yeye ni nani. 13Yesu akapanda mlimani na kuwaita wale aliowataka, nao wakamjia. 14Akawachagua kumi na wawili, ambao aliwaita mitume, ili wapate kuwa pamoja naye, na awatume kwenda kuhubiri

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.