Marko 3:16
Mark 3:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawa ndio wale kumi na wawili aliowachagua: Simoni (ambaye alimwita Petro);
Mark 3:16 in English
Mark 3:16 · Berean Standard Bible
These are the twelve He appointed: Simon (whom He named Peter),
Context
14Akawachagua kumi na wawili, ambao aliwaita mitume, ili wapate kuwa pamoja naye, na awatume kwenda kuhubiri 15na kuwa na mamlaka ya kutoa pepo wachafu. 16Hawa ndio wale kumi na wawili aliowachagua: Simoni (ambaye alimwita Petro); 17Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohana nduguye (ambao aliwaita Boanerge, maana yake Wana wa Ngurumo); 18Andrea, Filipo, Bartholomayo, Mathayo, Tomaso, Yakobo mwana wa Alfayo, Thadayo, Simoni Mkananayo,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.