Marko 15:23
Mark 15:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nao wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini hakuinywa.
Mark 15:23 in English
Mark 15:23 · Berean Standard Bible
There they offered Him wine mixed with myrrh, but He did not take it.
Context
21Mtu mmoja kutoka Kirene, jina lake Simoni, baba yao Aleksanda na Rufo, alikuwa anapita zake kuingia mjini kutoka shamba, nao wakamlazimisha kuubeba ule msalaba. 22Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa). 23Nao wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini hakuinywa. 24Basi wakamsulubisha, nazo nguo zake wakagawana miongoni mwao kwa kuzipigia kura ili kuamua ni gani kila mtu ataichukua. 25Ilikuwa yapata saa tatu asubuhi walipomsulubisha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.