Native Bible

Mark 15:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ilikuwa yapata saa tatu asubuhi walipomsulubisha.

Mark 15:25 in English

Mark 15:25 · Berean Standard Bible

It was the third hour * when they crucified Him.

Context

23Nao wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini hakuinywa. 24Basi wakamsulubisha, nazo nguo zake wakagawana miongoni mwao kwa kuzipigia kura ili kuamua ni gani kila mtu ataichukua. 25Ilikuwa yapata saa tatu asubuhi walipomsulubisha. 26Tangazo likaandikwa la mashtaka dhidi yake lenye maneno haya: “Mfalme wa Wayahudi.” 27Pamoja naye walisulubiwa wanyangʼanyi wawili, mmoja upande wake wa kuume na mwingine upande wa kushoto. [

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.