Marko 15:24
Mark 15:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi wakamsulubisha, nazo nguo zake wakagawana miongoni mwao kwa kuzipigia kura ili kuamua ni gani kila mtu ataichukua.
Mark 15:24 in English
Mark 15:24 · Berean Standard Bible
And they crucified Him. They also divided His garments by casting lots to decide what each of them would take.*
Context
22Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa). 23Nao wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini hakuinywa. 24Basi wakamsulubisha, nazo nguo zake wakagawana miongoni mwao kwa kuzipigia kura ili kuamua ni gani kila mtu ataichukua. 25Ilikuwa yapata saa tatu asubuhi walipomsulubisha. 26Tangazo likaandikwa la mashtaka dhidi yake lenye maneno haya: “Mfalme wa Wayahudi.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.