Marko 14:46
Mark 14:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wale watu wakamkamata Yesu, wakamweka chini ya ulinzi.
Mark 14:46 in English
Mark 14:46 · Berean Standard Bible
Then the men seized Jesus and arrested Him.
Context
44Basi msaliti alikuwa amewapa hao watu ishara, kwamba: “Yule nitakayembusu ndiye. Mkamateni, mkamchukue chini ya ulinzi.” 45Mara Yuda akamjia Yesu na kusema, “Rabi.”* Akambusu. 46Wale watu wakamkamata Yesu, wakamweka chini ya ulinzi. 47Ndipo mmoja wa wale waliokuwa wamesimama karibu aliuchomoa upanga wake na kumpiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio. 48Kisha Yesu akawaambia, “Mmekuja na panga na marungu kunikamata kana kwamba mimi ni mnyangʼanyi?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.