Native Bible

Mark 14:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mara Yuda akamjia Yesu na kusema, “Rabi.”* Akambusu.

Mark 14:45 in English

Mark 14:45 · Berean Standard Bible

Going directly to Jesus, he said, “Rabbi!” and kissed Him.

Context

43Yesu alipokuwa bado anazungumza, Yuda, mmoja wa wale wanafunzi Kumi na Wawili, akatokea. Alikuwa amefuatana na umati wa watu wenye panga na marungu, waliokuwa wametumwa na viongozi wa makuhani, walimu wa sheria, na wazee. 44Basi msaliti alikuwa amewapa hao watu ishara, kwamba: “Yule nitakayembusu ndiye. Mkamateni, mkamchukue chini ya ulinzi.” 45Mara Yuda akamjia Yesu na kusema, “Rabi.”* Akambusu. 46Wale watu wakamkamata Yesu, wakamweka chini ya ulinzi. 47Ndipo mmoja wa wale waliokuwa wamesimama karibu aliuchomoa upanga wake na kumpiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.