Marko 11:20
Mark 11:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Asubuhi yake walipokuwa wakipita, wakauona ule mtini umenyauka kutoka juu hadi kwenye mizizi yake.
Mark 11:20 in English
Mark 11:20 · Berean Standard Bible
As they were walking back in the morning, they saw the fig tree withered from its roots.
Context
18Viongozi wa makuhani na walimu wa sheria wakapata habari hizi, nao wakaanza kutafuta njia ya kumuua, kwa kuwa walikuwa wakimwogopa, kwa sababu umati wote ulikuwa unashangazwa na mafundisho yake. 19Ilipofika jioni, Yesu na wanafunzi wake wakatoka nje ya mji. 20Asubuhi yake walipokuwa wakipita, wakauona ule mtini umenyauka kutoka juu hadi kwenye mizizi yake. 21Petro akakumbuka na kumwambia Yesu, “Rabi, tazama! Ule mtini ulioulaani umenyauka!” 22Yesu akawajibu, “Mwaminini Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.